Katika ulimwengu wa kubashiri mpira wa miguu, Asian Handicap ni mojawapo ya masoko maarufu zaidi kwa wabetiji wa kiwango cha kati hadi cha juu. Beti za Asian Handicap hutoa njia ya kusawazisha timu zinazoshindana kwa kupunguza au kuongeza mabao ya kufikirika kabla ya mechi kuanza. Katika makala hii, tutachambua aina mbalimbali za Asian Handicap, jinsi zinavyofanya kazi, mifano ya mechi halisi, na ligi bora za kubetia chaguzi hizi.
Table of contents
Open Table of contents
- Asian Handicap 0
- Asian Handicap 0.25 na -0.25
- Asian Handicap 0.5 na -0.5
- Asian Handicap 0.75 na -0.75
- Asian Handicap 1 na -1
- Asian Handicap 1.25 na -1.25
- Asian Handicap 1.5 na -1.5
- Asian Handicap 1.75 na -1.75
- Asian Handicap 2 na -2
- Asian Handicap 2.25 na -2.25
- Asian Handicap 2.5 na -2.5
- Asian Handicap 2.75 na -2.75
- Asian Handicap 3 na -3
- Kampuni Bora za Kubetia Machaguo ya Asian Handicap
- Hitimisho
Asian Handicap 0
Maana ya Asian Handicap 0
Asian Handicap 0 ni beti inayofanya kazi kama Draw No Bet (DNB), ambapo hakuna faida ya mabao yoyote kwa timu yoyote na droo hupelekea dau lako kurudishwa.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda, unapokea ushindi.
- Ikiwa mechi itaishia sare, dau lako litarudishwa.
- Ukiwa umebashiri timu na ikapoteza, unapoteza dau lako.
Mfano
Ikiwa umeweka dau la Asian Handicap 0 kwa Arsenal dhidi ya Aston Villa na:
- Arsenal ikashinda 2-1, ushindi ni wako.
- Mechi ikiisha sare 1-1, dau lako linarudishwa.
- Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 0
Ligi nyingi za ulaya ni bora kubetia soko hili, mfano wa ligi hizi ni:
- Premier League ya England
- Serie A ya Italia
- Bundesliga ya Ujerumani
Asian Handicap 0.25 na -0.25
Maana ya Asian Handicap 0.25
Katika Handicap hii, dau lako linagawanyika kati ya Handicap 0 na Handicap -0.5.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda, unapata ushindi kamili.
- Ikiwa mechi itaisha sare, unapata nusu ya dau lako.
- Ukiwa umebashiri timu na ikapoteza, unapoteza dau lote.
Mfano
Ikiwa umeweka dau la Asian Handicap -0.25 kwa Arsenal na matokeo ni:
- Arsenal ikashinda 1-0, unapata ushindi wako kamili.
- Mechi ikiisha sare 0-0, unapata nusu ya ushindi wako.
- Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako yote.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 0.25
Pia chaguo hili ni zuri kwa ligi nyingi za ulaya na ligi hizi mbili mara nyingi hounyesha faida kwenye soko hili:
- La Liga ya Uhispania
- Championship ya England
Asian Handicap 0.5 na -0.5
Maana ya Asian Handicap 0.5
Handicap 0.5 ni rahisi kuelewa: timu yako inapaswa kushinda mechi nzima ili ushinde beti yako.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda, unapata ushindi.
- Sare au kushindwa kunamaanisha umepoteza beti yako.
Mfano
Ikiwa umeweka dau la Asian Handicap -0.5 kwa Arsenal na matokeo ni:
- Arsenal ikashinda 2-1, unapata ushindi.
- Mechi ikiisha sare 1-1, unapoteza dau lako.
- Aston Villa ikishinda 3-0, unapoteza dau lako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 0.5
- Eredivisie ya Uholanzi
- Serie B ya Italia
Asian Handicap 0.75 na -0.75
Maana ya Asian Handicap 0.75
Dau lako linagawanyika kati ya Handicap 0.5 na Handicap 1.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Timu yako ikishinda kwa tofauti ya mabao mawili au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ushindi wa bao moja unakupa nusu ya ushindi.
Mfano
Kwa Arsenal (-0.75):
- Arsenal ikishinda 3-1, unapata ushindi kamili.
- Arsenal ikishinda 1-0, unapata nusu ya ushindi.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 0.75
- Liga MX ya Mexico
- Ligue 1 ya Ufaransa
Asian Handicap 1 na -1
Maana ya Asian Handicap 1
Handicap 1 inatoa bao moja kama faida au hasara kwa timu fulani kabla ya mchezo kuanza.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Timu yako ikishinda kwa tofauti ya mabao mawili au zaidi, unapata ushindi.
- Ushindi wa bao moja hurejesha dau lako.
- Sare au kushindwa hupoteza dau.
Mfano
Kwa Arsenal (-1):
- Arsenal ikishinda 2-0, unapata ushindi.
- Arsenal ikishinda 1-0, dau lako linarudishwa.
- Sare au kushindwa, unapoteza dau.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 1
- Champions League
- Copa Libertadores
Asian Handicap 1.25 na -1.25
Maana ya Asian Handicap 1.25
Handicap hii inagawanya dau lako kati ya Handicap 1 na Handicap 1.5.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako inashinda kwa tofauti ya mabao mawili au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ushindi wa bao moja unashinda nusu ya beti yako.
- Sare au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-1.25) vs Aston Villa:
- Arsenal ikishinda 3-1, unapata ushindi kamili.
- Arsenal ikishinda 2-1, unapata nusu ya ushindi.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza dau.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 1.25
- Brazil Serie A
- K-League ya Korea Kusini
Asian Handicap 1.5 na -1.5
Maana ya Asian Handicap 1.5
Timu yako lazima ishinde kwa tofauti ya mabao mawili au zaidi ili ushinde beti yako.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako inashinda kwa mabao mawili au zaidi, unapata ushindi.
- Ushindi wa bao moja, sare, au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-1.5):
- Arsenal ikishinda 3-1, unapata ushindi.
- Arsenal ikishinda 2-1, unapoteza beti yako.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 1.5
- Serie A ya Italia
- MLS ya Marekani
Asian Handicap 1.75 na -1.75
Maana ya Asian Handicap 1.75
Handicap 1.75 hugawanya beti yako kati ya Handicap 1.5 na Handicap 2.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao matatu au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao mawili, unapata nusu ya ushindi.
- Ushindi wa bao moja, sare, au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-1.75):
- Arsenal ikishinda 4-1, unapata ushindi kamili.
- Arsenal ikishinda 3-1, unapata nusu ya ushindi.
- Arsenal ikishinda 2-1, unapoteza beti.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 1.75
- Primeira Liga ya Ureno
- Eredivisie ya Uholanzi
- Bundesliga ya Ujerumani
Asian Handicap 2 na -2
Maana ya Asian Handicap 2
Handicap 2 huongeza au kupunguza mabao mawili kwa matokeo ya mwisho ya timu fulani.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao matatu au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ushindi wa mabao mawili, stake yako inarudishwa.
- Ushindi wa bao moja, sare, au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-2) vs Aston Villa:
- Arsenal ikishinda 4-1, unapata ushindi.
- Arsenal ikishinda 3-1, dau lako linarudishwa.
- Arsenal ikishinda 2-1, unapoteza beti yako.
- Sare au Aston Villa ikishinda, uapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 2
- Bundesliga ya Ujerumani
- La Liga ya Uhispania
- Eredivisie ya Uholanzi
Asian Handicap 2.25 na -2.25
Maana ya Asian Handicap 2.25
Handicap 2.25 hugawanya beti yako kati ya Handicap 2 na Handicap 2.5.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao matatu au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ushindi wa mabao mawili hukupa nusu ya ushindi.
- Ushindi wa bao moja, sare, au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-2.25) vs Aston Villa:
- Arsenal ikishinda 5-2, unapata ushindi kamili.
- Arsenal ikishinda 4-2, unapata nusu ya ushindi.
- Arsenal ikishinda 3-2, unapoteza beti yako.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 2.25
- Premier League ya Singapore
- National League ya New Zealand
- Soccer League ya Canada
Asian Handicap 2.5 na -2.5
Maana ya Asian Handicap 2.5
Handicap 2.5 inahitaji timu yako ishinde kwa tofauti ya mabao matatu au zaidi ili ushinde dau.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao matatu au zaidi, unapata ushindi.
- Ushindi wa mabao mawili, bao moja, sare, au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-2.5) vs Aston Villa:
- Arsenal ikishinda 4-0, unapata ushindi.
- Arsenal ikishinda 3-1, unapoteza beti yako.
- Arsenal ikishinda 2-1, unapoteza beti.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 2.5
- Champions League
- FA Cup ya Uingereza
- Kakkonen ya Finland
Asian Handicap 2.75 na -2.75
Maana ya Asian Handicap 2.75
Handicap 2.75 hugawanya beti yako kati ya Handicap 2.5 na Handicap 3.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao manne au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ushindi wa mabao matatu hukupa nusu ya ushindi.
- Ushindi wa mabao mawili, bao moja, sare, au kushindwa unapoteza beti yako.
Mfano
Kwa Arsenal (-2.75) vs Aston Villa:
- Arsenal ikishinda 5-1, unapata ushindi kamili.
- Arsenal ikishinda 4-1, unapata nusu ya ushindi.
- Arsenal ikishinda 3-1, unapoteza beti yako.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 2.75
- Premier League ya Singapore
- National League ya New Zealand
- Pro League ya Falme za Kiarabu (UAE)
- Premier League ya Hong Kong
Asian Handicap 3 na -3
Maana ya Asian Handicap 3
Handicap 3 huongeza au kupunguza mabao matatu kwa matokeo ya mwisho ya timu fulani.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Ikiwa timu yako itashinda kwa tofauti ya mabao manne au zaidi, unapata ushindi kamili.
- Ushindi wa mabao matatu, unarudishiwa dau lako.
- Ushindi wa mabao mawili, bao moja, sare, au kushindwa, unapoteza dau lako.
Mfano
Kwa Arsenal (-3) vs Aston Villa:
- Arsenal ikishinda 6-2, unapata ushindi kamili.
- Arsenal ikishinda 4-1, dau lako linarudishwa.
- Arsenal ikishinda 3-1, unapoteza beti yako.
- Sare au Aston Villa ikishinda, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia Asian Handicap 3
- Stars League ya Qatar
- Copa America
- Esiliiga ya Estonia
- Challenge League ya Switzerland
Kampuni Bora za Kubetia Machaguo ya Asian Handicap
- LeonBet Tanzania
- Gal Sport Betting Tanzania
- BetWay Tanzania
Hitimisho
Asian Handicap ni mbinu ya kipekee na ya kuvutia ya kubashiri mpira wa miguu. Inakupa nafasi ya kuondoa hatari ya matokeo ya sare huku ikiongeza faida kwa timu zinazopendelea na uwezekano wa kupata nusu ya ushindi kama matokeo yakienda ndivyo sivyo. Hakikisha unachagua ligi bora na kufuatilia takwimu za timu kabla ya kubashiri. Kumbuka, ni muhimu kubetia kwa uwajibikaji na kufurahia mchezo!
Ahsante!