Kubashiri mpira wa miguu hutoa fursa nyingi za kipekee, na mojawapo ni beti za Goals in a Row. Aina hii ya kubet inazingatia timu moja kufunga mabao mfululizo, bila timu pinzani kufunga. Katika makala hii, tutachambua aina mbalimbali za Goals in a Row, jinsi zinavyofanya kazi, mifano halisi ya mechi, na ligi bora za kubetia chaguzi hizi.
Fuatana nami sasa!
Table of contents
Open Table of contents
- Home Team To Score 2 or More Goals in a Row
- Home Team To Score 3 or More Goals in a Row
- Home Team To Score 4 or More Goals in a Row
- Away Team To Score 2 or More Goals in a Row
- Away Team To Score 3 or More Goals in a Row
- Away Team To Score 4 or More Goals in a Row
- Kampuni Bora za Kubetia Machaguo ya Goals in a Row
- Hitimisho
Home Team To Score 2 or More Goals in a Row
Maana ya Home Team To Score 2 or More Goals in a Row
Hii ni beti inayotabiri kwamba timu ya nyumbani itafunga mabao mawili mfululizo bila kuruhusu bao lolote kutoka kwa timu ya ugenini.
Jinsi Inavyofanya Kazi
Unaweza kubashiri “Yes” (Ndiyo) au “No” (Hapana):
- Yes: Timu ya nyumbani lazima ifunge mabao mawili au zaidi mfululizo bila timu ya ugenini kupata goli.
- No: Hii inamaanisha matukio kama timu pinzani kufunga kabla au baada ya bao la kwanza la timu ya nyumbani.
Mfano:
Mechi kati ya Liverpool (nyumbani) na Southampton (ugenini), Ukiweka:
- Yes: Liverpool ikifunga 1-0, kisha 2-0. Beti yako imeshinda.
- No: Southampton ikifunga 1-1 baada ya bao la kwanza la Liverpool, umepoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia
- Bundesliga ya Ujerumani
- Premier League ya England
- La Liga ya Uhispania
Home Team To Score 3 or More Goals in a Row
Maana ya Home Team To Score 3 or More Goals in a Row
Hii ni beti inayotabiri kwamba timu ya nyumbani itafunga mabao matatu mfululizo bila kuruhusu bao kutoka kwa timu ya ugenini.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Yes: Timu ya nyumbani lazima ifunge mabao matatu mfululizo.
- No: Bao lolote kutoka kwa timu pinzani kabla ya mabao matatu hukufanya upoteze beti yako.
Mfano:
Katika mechi ya Arsenal (nyumbani) dhidi ya Brighton (ugenini), ukibashiri:
- Yes: Arsenal ikafunga 1-0, 2-0, kisha 3-0 bila Brighton kufunga. Beti yako imeshinda.
- No: Ikiwa Brighton itafunga kabla ya Arsenal kufikisha mabao matatu mfululizo, mkeka wako umechanika.
Ligi Bora za Kubetia
- Sweden Dision 1 - Norra
- MLS ya Marekani
- Ligue 1 ya Ufaransa
Home Team To Score 4 or More Goals in a Row
Maana ya Home Team To Score 4 or More Goals in a Row
Beti hii inatabiri kwamba timu ya nyumbani itafunga mabao manne mfululizo bila kuruhusu goli toka kwa timu pinzani.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Yes: Timu ya nyumbani lazima ifunge mabao manne mfululizo.
- No: Bao lolote kutoka kwa timu ya pinzani kabla ya mabao manne kufungwa unapoteza beti yako.
Mfano:
Katika mechi ya Barcelona (nyumbani) dhidi ya Girona:
- Yes: Barcelona itatakiwa kufunga mabao manne bila Girona kufunga (mfano 4-0). Ushindi wako unathibitishwa.
- No: Ikiwa Girona itafunga kabla ya mabao manne ya Barcelona, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia
- Wales Championship North
- Finland Kolmonen
- England Development League 2
- England Premier League 2
- Germany Verbandsliga
Away Team To Score 2 or More Goals in a Row
Maana ya Away Team To Score 2 or More Goals in a Row
Hii ni beti inayotabiri kwamba timu ya ugenini itafunga mabao mawili mfululizo bila kuruhusu bao kutoka kwa timu ya nyumbani.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Yes: Timu ya ugenini lazima ifunge mabao mawili mfululizo.
- No: Bao lolote kutoka kwa timu ya nyumbani kabla ya mabao mawili linakufanya upoteze beti yako.
Mfano:
Katika mechi ya Las Palmas (nyumbani) dhidi ya Real Madrid:
- Yes: Real Madrid inafunga 1-0, kisha 2-0 bila Las Palmas kufunga. Beti yako inatiki.
- No: Ikiwa Las Palmas itafunga kabla ya Real Madrid kutimiza magoli mawili mfululizo, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia
- Eredivisie ya Uholanzi
- Primeira Liga ya Ureno
Away Team To Score 3 or More Goals in a Row
Maana ya Away Team To Score 3 or More Goals in a Row
Beti hii inatabiri kwamba timu ya ugenini itafunga mabao matatu mfululizo bila kujibiwa na timu ya nyumbani.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Yes: Timu ya ugenini lazima ifunge mabao matatu mfululizo.
- No: Timu ya nyumbani ikifunga kabla ya ugenini haijatimiza mabao matatu au zaidi mfululizo, unapoteza beti yako.
Mfano:
Katika mechi ya Monaco (nyumbani) dhidi ya PSG (ugenini):
- Yes: PSG inafunga bao la kwanza, la pili na la tatu bila kujibiwa na Monaco. Beti yako inashinda.
- No: Monaco ikifunga goli kati kati ya magoli ya PSG kabla ya kufikisha matatu au zaidi, mkeka wako umechanika
Ligi Bora za Kubetia
- Scottish Premiership
- Norwegian Eliteserien
- Hong Kong 1st Division
- Austria 2. Liga
Away Team To Score 4 or More Goals in a Row
Maana ya Away Team To Score 4 or More Goals in a Row
Hii ni beti inayotabiri kwamba timu ya ugenini itafunga mabao manne mfululizo bila kuruhusu bao kutoka kwa timu ya nyumbani.
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Yes: Timu ya ugenini lazima ifunge mabao manne mfululizo.
- No: Bao lolote kutoka kwa timu ya nyumbani kabla ya mabao manne kutimia linakufanya upoteze beti yako.
Mfano:
Katika mechi ya Wolves (nyumbani) dhidi ya Manchester City (ugenini):
- Yes: Manchester City inafunga mabao manne bila kujibiwa (mfano 4-0). Ushindi wako unathibitishwa.
- No: Ikiwa Wolves itafunga bao kati kati ya hayo mabao manne, unapoteza beti yako.
Ligi Bora za Kubetia
- Holland Eerste Divisie
- Germany Bundesliga II
- Norway Division 1
- Holland Eredivisie
Kampuni Bora za Kubetia Machaguo ya Goals in a Row
- LeonBet Tanzania
- Gal Sport Betting Tanzania
- BetWay Tanzania
Hitimisho
Goals in a Row ni chaguo la kipekee na la kusisimua kwa wabetiji wa mpira wa miguu. Hutoa odds kubwa na nono na pia nafasi za kipekee za kufuatilia mwelekeo wa timu na kuchambua uwezo wao wa kushambulia bila kupoteza udhibiti. Kabla ya kubashiri, hakikisha unafanya utafiti wa kina kuhusu timu na rekodi zao. Kumbuka kubashiri kwa uwajibikaji na kufurahia mchezo!
Ahsante!