Katika kubashiri mpira wa miguu, kuna aina mbalimbali za bets ambazo zinaweza kutumika kuweka dau na kufurahia ushindi wako. Hapa tunachambua na kukufahamisha chaguzi ya Draw No Bet (DNB) kwa kipindi cha kwanza (Halftime) na mwisho wa mechi (Fulltime), pamoja na ligi na kampuni bora/nzuri za kubetia chaguo hili.
Table of contents
Open Table of contents
Maana ya Draw No Bet (DNB) Fulltime
Draw No Bet (DNB) ni aina ya dau ambapo unachagua timu ya kushinda mechi, na ikiwa mechi itamalizika sare, dau lako litarudishwa. Hii inapunguza uwezekano wa kupoteza bashiri yako ikilinganishwa na kubashiri ushindi wa moja kwa moja, kwani sare haipotezi dau.
Mfano wa Matokeo ya Draw No Bet (DNB)
Ikiwa umeweka dau la DNB kwa Timu A dhidi ya Timu B, na mechi ikaisha kwa matokeo yafuatayo:
- Timu A ikashinda: Dau lako limeshinda.
- Mechi ikiisha sare/droo: Dau lako linarudishwa.
- Timu B ikishinda: Dau lako limepotea.
Tip! DNB inaweza kuwa chaguo bora katika mechi ambazo unadhani timu moja ina uwezekano mkubwa wa kushinda lakini pia ina hatari ya mechi kuishia sare/droo.
Maana ya Draw No Bet (DNB) Halftime
Draw No Bet (DNB) kwa Kipindi cha Kwanza ni aina ya bashiri ambapo unachagua timu itakayoongoza kipindi cha kwanza, na ikiwa kipindi cha kwanza kitamalizika sare/droo, dau lako litarudishwa. Hii inatoa usalama zaidi kwa wabetiji katika nusu ya kwanza ya mechi (First Half).
Mfano wa Matokeo ya Draw No Bet (DNB) kwa Kipindi cha Kwanza (First Half)
Ikiwa umeweka dau la DNB kwa Kipindi cha Kwanza kwa Timu A dhidi ya Timu B, na kipindi cha kwanza kikaisha kwa matokeo yafuatayo:
- Timu A ikaongoza: Dau lako limeshinda.
- Kipindi cha kwanza kikaisha sare: Dau lako linarudishwa.
- Timu B ikaongoza: Dau lako limepotea.
Tip! DNB kwa Kipindi cha Kwanza inaweza kuwa chaguo bora katika mechi ambapo unadhani timu fulani itaonyesha nguvu mwanzoni lakini huenda ikakabiliana na upinzani mkali baadaye na kipindi cha kwanza kumalizika kwa sare/droo.
Ligi Bora za Kubetia Draw No Bet
Ligi bora za kubetia Draw No Bet ni zile ambazo mara nyingi zina ushindani mkubwa na mechi nyingi kwenye ligi hizi huwa na uwezekano mkubwa wa kuishia sare. Ligi hizi ni kama vile:
- English Premier League
- La Liga ya Uhispania
- Segunda Liga ya Uhispania
- Serie A ya Italia
- Serie B ya Italia
- Ligue 1 ya Ufaransa
- Ligue 2 ya Ufaransa
- Uzbekistan Super League
- Japan J3 League
- Cameroon Elite One
Ligi hizi zina timu zenye ushindani zinazoweza kuleta matokeo yasiyotabirika ya ushindi lakini vile vile zina uwezekano mkubwa wa kutoa draw, na hivyo kufanya DNB kuwa chaguo nzuri.
Kampuni Bora za Kubetia Draw No Bet
Kampuni zinazotoa fursa nzuri za kubetia Draw No Bet kwa Tanzania ni:
- LeonBet Tanzania
- Gal Sport Betting Tanzania
- BetWay Tanzania
Kampuni hizi zina sifa ya kutoa masoko mengi ya michezo, ofa nzuri, na uwezo wa kuedit bets zako na cashout.
Hitimisho
Kwa kuhitimisha, Draw No Bet ni chaguo bora kwa wabetiji (wazee wa mikeka) wanaotaka kupunguza hatari ya kupoteza dau lao endapo mechi itaishia sare. Ni muhimu kuchagua ligi na timu kwa uangalifu, pamoja na kutumia kampuni zinazotoa huduma bora na ofa nzuri. Kumbuka kutumia kampuni zenye masoko mengi, ofa nyingi, uwezo wa kuedit bet zako, cashout, na JackPot kubwa. Kampuni zilizopendekezwa ni Gal Sport Betting, BetWay Tanzania, na Parimatch Tanzania.
Ahsante! 🙏